Sentence alignment for gv-amh-20121124-344.xml (html) - gv-swa-20121120-4400.xml (html)

#amhswa
1የትርጉም መርሐ ግብር፤ ዓለምአቀፍ የበየነ መረብ ነጻነትን ጥበቃ መግለጫMradi wa Tafsiri: Kauli ya Linda Uhuru wa Intaneti Ulimwenguni
2ለተከታዮቹ ሰባት ቀናት የዓለም ድምፆች የቋንቋ በጎ ፈቃደኞች፤ ህዝባዊ የመስመር ላይ የድጋፍ ፊርማን ይተረጉማሉ፡፡ ፊርማው በመጪው ዓለም አቀፍ የቴሌኮሚኒኬሽን ህብረት (አይቲዩ) ጉባኤ ላይ የመስመር ላይ ሰብዓዊ መብት ጥበቃን የሚደግፍና የአይቲዩ አባላት የሆኑ መንግስታትን የበየነ መረብ ገሀድነት እንዲያከብሩ የሚጠይቅ ነው፡፡Katika siku saba zijazo, Wafasiri wa Kujitolea wa Mradi wa Lingua wa taasisi ya Global Voices watakuwa wakitafsiri makala maalumu ambayo ni harakati ya utetezi unaofanywa na umma mtandaoni na ambao unasaidia kulinda haki za watu kwenye mitandao ya intaneti na kuzitaka serikali zilizo wanachama wa Muungano wa Kimataifa wa Mawasiliano ya Simu (International Telecommunication Union - ITU) kutunza matumizi huru ya Intaneti katika mkutano mkuu ujao wa ITU.
3ለማንኛውም ግለሰብ ወይም የሲቪል ማኀበር ፊርማ ክፍት የሆነው አለምአቀፍ የበየነ መረብ ነጻነት ጥበቃ መግለጫ እንዲህ ይነበባል፤ በታህሳስ 3(እ.Utetezi huu uko wazi kutiwa saini na mtu mmojammoja au asasi ya kiraia, kauli hii ya Linda Uhuru wa Intaneti Ulimwenguni inasomeka kama ifuatavyo:
4ኤ.
5አ.) የዓለም መንግስታት ዓለም አቀፍ የቴሌኮሚኒኬሽን ህብረት (አይ. ቲ.Mnamo Desemba 3, serikali mbalimbali ulimwenguni zitakutana ili kupitia upya mkataba muhimu wa shirika la Umoja wa Mataifa linalojulikana kama Ushirika wa Kimataifa wa Mawasiliano ya Simu (ITU).
6ዩ) የተሠኘውን የመንግስታቱ ህብረት ኤጀንሲ ቁልፍ ስምምነት ለማደስ ይገናኛሉ፡፡ አንዳንድ መንግስታት የበየነመረብ ገሐድነትና እና ፈጠራዎችን በሚገድብ፣ የመገልገያ ወጪን በሚጨምር፣ የመስመር ላይ ነጻነትን በሚሸረሽር መልኩ የአይቲዩ ስልጣን የበየነመረብ ገዢነት በመጨመር እንዲሰፋ ሐሳብ እያቀረቡ ይገኛሉ፡፡የሲቪል ማኀበራት ድርጅቶችና የሁሉም ሀገራት ዜጎች ዓለምአቀፍ የበየነ መረብ ነጻነት ለመጠበቅ ይህንን መግለጫ እንዲፈርሙ ጥሪ እናቀርባለን፡፡Kuna serikali zinazofikiri kupendekeza kupanua mamlaka ya ITU ili isimamie utawala wa Intaneti kwa njia ambazo pengine zitatishia uhuru na ubunifu katika kutumia Intaneti, huenda hatua hiyo itaongeza gharama za kutumia huduma, na hata pengine kumomonyoa haki za watu za mtandaoni. Tunatoa wito kwa asasi za kiraia na wanaharakati wa mtandaoni kutoka mataifa yote kutia saini kwenye Kauli hii ya Linda Uhuru wa Intaneti Ulimwenguni:
7የበየነ መረብ አስተዳደር ውሳኔዎች መደረግ ያለባቸው በግልጽነት በትክክለኛ ብዙኃን ባለድርሻ አካላት፣ በሲቪል ማኀበራት፣ መንግስታት እና የግሉ ማኀበረሰብ ተሳትፎ ነው፡፡ አይቲዩን እና አባል ሀገራቱን ግልጸኝነት እንዲመርጡና ምናልባት የመስመር ላይ ሰብዓዊ መብት እንቅስቃሴን የሚጎዳውን የአይቲዩ ስልጣን ወደ በየነ መረብ ገዢነት የመስፋፋት ምንም አይነት ሐሳብ ውድቅ እንዲያደርጉ ጥሪ እናቀርባለን፡፡Uamuzi kuhusu uendeshaji wa Intaneti hauna budi kufanywa kwa namna iliyo wazi kwa kuhakihisha wadau wengi mbalimbali na halisi wanashirikishwa hasa kutoka asasi za kiraia, serikali na sekta binafsi. Tunaiomba ITU na nchi wanachama wake kuzingatia uwazi na kukataa mapendekezo yoyote yanayoweza kupanua mamlaka ya ITU kwenye maeneo ya uendeshaji masuala ya Intaneti yanayoweza kutishia haki za watu kwenye mitandao ya intaneti.
8የተቃውሞውን ፊርማ ለማኖር ዓለም አቀፍ የበየነ መረብ ነጻነት ጥበቃን መካነ ድር ይጎብኙ፡፡ ለመፈረም የመጀመሪያ ስሞዎን፣ የቤተሰብ ስሞዎን፣ የበየነ መረብ አድራሻዎትን፣ የደርጅትዎን ስም (የሲቨል ማኀበራት ድርጅትን ወክለው የሚፈርሙ ከሆነ)፣ የደርጅትዎን መካነ ድር ያስገቡ፤ ሀገርዎን ከዝርዝሩ ውስጥ ይምረጡ፡፡Ili kutia saini kwenye wito huu wa utetezi, tembelea tovuti ya Linda Uhuru wa Intaneti Ulimwenguni. Ili kutia saini, andika jina lako la kwanza, la ukoo, barua-pepe yako, jina la asasi yako (ikiwa unatia saini kwa niaba ya asasi ya kiraia), weka kiungo cha URL cha asasi hiyo, na chagua nchi yako.
9ሁሉም ትርጉሞች በተቃውሞ ፊርማ ማሰባሰቢያው መካነ ድር መቀመጫውን ካናዳ ባደረገው የዲጂታል መብቶች ቡድን ኦፕንሚዲያ ወደመስመር ላይ በሚሰቅለው ላይ ይለጠፋሉ፡፡Tafsiri zote pia zitapandishwa kwenye tovuti ya utetezi huu, ambayo imepata uhifadhi hapa OpenMedia, ambalo ni kundi la utetezi wa haki za watu la nchini Kanada.
10እባክዎን ትርጉሙ በሚታይበት ጊዜ(ከላይ ያለውን ይመልከቱ) በማኀበራዊ ሚዲያዎች ለወዳጆቻችኹ ለማጋራት የበረታችኹ ሁኑ፡፡Kadiri tafsiri zinavyojitokeza (tazama hapo juu), tafadhali washirikishe wengine pia viungo kupitia mitandao ya kijamii na marafiki!