Sentence alignment for gv-bul-20120311-141.xml (html) - gv-swa-20120324-2661.xml (html)

#bulswa
1Палестина: Въздушни удари по ГазаPalestina: Gaza yashambuliwa, watu 12 wauwawa na wengine wengi kujeruhiwa
2През нощта на 9-ти срещу 10-ти март, израелски самолети атакуваха цели на територията на Ивицата Газа, като жертвите от ударите са най-малко 12 и над 20 ранени.Usiku kucha wa Machi 9 hadi asubuhi ya Machi 10, 2012, ndege za kivita za Israeli zilifanya mashambulizi kwa kuchagua maeneo kwenye Ukanda wa Gaza, na kuua takribani watu 12 na kuacha wengine 20 wakiwa majeruhi.
3В следобеда на 9 март, Зухейр Ал-Кайси, генерален секретар на Народните комитети за съпротива, е убит по време на нападението над град Газа, заедно със своя помощник Абу Ахмад Ханани.Mchana wa Machi 9, Zuheir al-Qaysi, katibu mkuu wa chama cha (PRC) Popular Resistance Committees , aliuawa pamoja na msaidizi wake Abu Ahmad Hanani kutokana na mashambulizi hayo ya Israel kwenye Jiji la Gaza.
4Ханани, който е от Наблус, бе депортиран в Газа, като част от размяната на затворници преди няколко месеца.Hanani alitokea Nablus kwa asili na alihamishiwa Gaza kama mmoja wa wafungwa walioachiwa huru katika mpango wa kubadilishana wafungwa miezi michache iliyopita.
5В отговор на нападенията, от Ивицата Газа палестински групировки изстреляха ракети към Израел. Жертви няма.Katika kujibu mashambulizi, vikundi vya ulinzi vya ki-Palestina vilivyo kwenye Ukanda wa Gaza vililipua mabomu kuelekea Israel, bila kudhuru mtu yeyote.
6От своя страна, Израел отвърна с повторни въздушни удари, които разтърсиха Газа и оставиха 12 убити, идентифицирани от Maan като Мохамед Ал Гамри, Фаик Саад, Муатасим Хаджадж, Убейд Гарабли, Харара Мохамед, Хазим Курейри, Сайкали Шади, Зухейр Ал-Кайси, Махмуд Ханани, Мохамед Магари, Махмуд Наджим и Ахмад Хаджадж.Israel ilijibu mapigo kwa mashambulizi makali ya angani yaliyoilenga Gaza na kuacha maiti wapatao kumi na wawili kwa mara moja. Majina yao yalitajwa na Shirika la Habari la Ma'an kuwa ni pamoja na: Muhammad al-Ghamry, Fayiq Saad, Muatasim Hajjaj, Ubeid Gharabli, Muhammad Hararah, Hazim Qureiqi, Shadi Sayqali, Zuheir al-Qaysi, Mahmoud Hanani, Muhammad Maghari, Mahmoud Najim, na Ahmad Hajjaj.
7Някои доклади посочват, че убитите са 15.Ripoti nyingine zinataja kuwa watu kumi na watano walipoteza maisha yao.
8Израелски самолети удрят град Газа.Mji wa Gaza ukipigwa mabomu na madege ya kijeshi ya Israel.
9Снимка от Twitter, @journeytogaza.Picha ya Mtumiaji wa twita aitwaye @journeytogaza
10Активисти от Газа реагираха на атаките в Twitter:Watumiaji wa Mtandao waishio Gaza waliitikia mashambulizi hayo kwenye Twita:
11@MaathMusleh: 15 бяха убити в Газа, но не се притеснявайте - те са само палестинци!@MaathMusleh: Watu 15 wameuawa mjini Gaza mpaka sasa, hakuna SHAKA watakuwa ni wa-Palestina!!
12#GazaUnderAttack#GazaUnderAttack
13@ectomorfo: Молете се за хората на Газа.@ectomorfo: Ombea watu wa Gaza.
14Няма ток, малко лекарства, няма газ.Hakuna umeme, kuna dawa kidogo, hakuna gesi.
15А сега те ни бомбардират от всички страни.Na sasa wanapigwa mabomu kutokea pande zote na #Israel.
16#Israel #GazaUnderAttack#GazaUnderAttack
17@Omar_Gaza: 18 минути без нито една експлозия!@Omar_Gaza: Dakika 18 bila milipuko!
18Предпазливо мълчание?Kimya cha tahadhari?
19Това ли е всичко?Yamekwisha?
2018 minutes with no explosions!Au niendelee kubana pumzi zangu kwa woga?
21Cautious silence? is it over?#GazaMassacre #GazaUnderAttack
22Мога ли да поема дъх?@najlashawa:sijui nimewezaje kuendelea kuchapa maandishi haya.
23#GazaMassacre #GazaUnderAttackSauti ilikuwa KUBWA!
24@najlashawa: Не знам как продължавам да пиша това - беше СИЛНО!
25#GAzaUnderAttack#GAzaUnderAttack
26@imNadZ: Добре дошли в Газа.@imNadZ: Karibu #Gaza.
27Където изгревът са експлозиите.Ambapo mwanga wake unatokana na mabomu.
28Където птиците са самолети F-16.Ndege zinazotumika ni aina ya F16.
29Тази атака идва в момента на променливи регионални и политически съюзи.Shambulio hili linakuja wakati wa kuhamisha ushirika wa kimaeneo na kisiasa.
30Миналата седмица, в светлината на увеличаваща се перспектива за американско-израелска война срещу Иран, официални лица от Хамас обявиха, че Хамас няма да подкрепи Иран в случай на удар по Иран.Juma lililopita, kwa kuongezeka kwa uwezekano wa vita ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, maafisa wawili wa juu wa Hamas walitangaza kwamba Hamasi haitajihusisha na itaiunga mkono Iran ikitokea Israel itashambulia.
31Хамас също така обяви, че подкрепя бунта на сирийците срещу Асад.Hamas pia walitangaza kuwaunga mkono watu wa Syria katika mapambano yao dhidi ya Assad.