# | hin | swa |
---|---|---|
1 | हैती मे भूख | Baa la Njaa Nchini Haiti |
2 | क्यों - जब 1995 और 2010 के भूकंप के दौरान कम से कम एक अरब अमेरिकी डॉलर की खाद्य सहायता देश को मिली है - भूखमरी बढ़ रही है? | Kwa nini - wakati nchi imepokea misaada ya chakula yenye thamani ya si chini ya dola za kimarekani bilioni moja wakati wa majanga ya matetemeko ya ardhi ya mwaka 1995 na 2010 - bado baa la njaa linaongezeka? |
3 | हैती ग्रासरूट्स वाच “शिकायतों, दुरूपयोग की अफवाहों, दुरूपयोग या खाद्य सहायता के नकारात्मक प्रभावों के बारे मे” जाँच करते हैं। | Blogu ya Haiti Grassroots Watch inasaili “malalamiko na tetesi kuhusu matumizi mabovu au hata matokeo yasiyotarajiwa ya misaada ya chakula.” |