# | mkd | swa |
---|
1 | Новости на Твитер за политичката криза во Лесото | Habari Mpya za Mgogoro wa Kisiasa Lesotho Kupitia Twita |
2 | Следете го @nthakoana (Nthakoana Ngatane) за новости од политичката криза во Лесото. | Mfuatilie @nthakoana (Nthakoana Ngatane) kupata habari mpya zinazohusu mgogoro wa kisiasa nchini Lesotho. |
3 | Nthakoana Ngatane е писател, говорник, пејач, актер и кореспондент на Јужноафриканската корпорација за пренос, во Лесото. | Nthakoana Ngatane ni mwandishi, msemaji, mwimbajii, mwigizaji na mwakilishi wa SHirika la Habari la Utangazaji la Afrika Kusini nchini Lesotho. |
4 | На 30ти август 2014, премиерот на Лесото Том Табејн тврдеше дека имало обид за државен удар. | Mnamo tarehe 30 Agosti 2014, Waziri Mkuu wa Lesotho Tom Thabane alidai kulikuwa na jaribio la kumpindua kijeshi dhidi yake. |
5 | Тој потоа одлета во Јужна Африка плашејќи се за неговиот живот. | Baade ilimbidi kwenda Afrika Kusini akihofia kupoteza maisha yake. |