Sentence alignment for gv-swa-20150530-8838.xml (html) - gv-tur-20150523-1518.xml (html)

#swatur
1Mjamzito wa Miaka 11 Agoma Kutoa Mimba Nchini UruguayUruguay'da 11 Yaşındaki Hamile Kız Kürtajı Reddediyor
2Kugoma kwa mjamzito wa miaka 11 kutoa mimba kumesababisha utata.11 Yaşındaki kürtajı reddeden kız tartışma yaratıyor.
3Hivi karibuniTuliandika kuhusu msichana wa miaka 10 aliyekuwa mjamzito nchini Paraguay kwa kudaiwa kubakwa na baba yake wa kambo na namna alivyoshindwa kutoa mimba hiyo kwa sababu sheria za nchi hiyo zinazuia utoaji wa mimba.İddiaya göre üvey babası tarafından tecavüze uğrayan fakat ülkenin yasal sınırlamalarından dolayı kürtaj yapamayan Paraguaylı 10 yaşındaki kız hakkında yakın zamanda yazmıştık.
4Sasa, nchini Uruguay, ambako utoaji wa mimba unaruhusiwa ndani ya majuma 12 ya mwanzo ya ujauzito, tukio la msichana wa miaka 11 aliyegoma kutoa mimba limeishangaza nchi.Şu an hamileliğin ilk 12 haftasında kürtajın yasal olduğu Uruguay'da 11 yaşındaki kızın kürtajı reddetmesi ülkeyi şaşırttı.
5Msichana huyu, anayesemekana kuwa na ulemavu wa akili, alibakwa na babu wa dada yake wa kambo mwenye miaka 41.Zihinsel engelli olduğu söylenen kız, üvey kardeşinin 41 yaşındaki dedesi tarafından tecavüze uğramıştı.
6Mwanaume huyu kwa sasa yuko kizuizini na anashitakiwa kwa makosa ya ubakaji, wanasema maafisa wa Uruguay walipozungumza na Agence France-Presse.Uruguaylı yetkililer Agence France-Presse'ye sanığın şu an gözaltında olduğunu ve tecavüz suçuyla yargılanacağını belirtti.
7Wanafamilia, madaktari, mashirika ya kijamii, na vyombo vya habari vimemshawishi msichana huyu kuitoa mimba hiyo.Aile bireyleri, doktorlar, sosyal örgütler ve medya kürtajı kabul etmesi için kızı teşvik etti.
8Wameishinikiza serikali kujaribu kumlazimisha kufanya hivyo, kwa mujibu wa jarida la Pangea Today.Hatta Pangea Today'e göre, kızın kürtaja zorlanması için hükümete baskı uygulandı.
9Majibu, hata hivyo, hayajawaridhisha:Fakat hükumetin yanıtı onların lehine olmadı:
10“Hakuna hatari yoyote kwa maisha yake wala mtoto, kwa hiyo hatuwezi kumlazimisha kutoa ujauzito huo,” mkurugenzi wa INAU, Monica Silva, alisema.”Çocuğun ya da bebeğin hayati riski olmadığından dolayı onu kürtaja zorlayamayız.” INAU Müdürü, Monica Silva.